2 Chronicles 27:1

Yothamu Mfalme Wa Yuda

(2 Wafalme 15:32-38)

1 aYothamu alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu miaka kumi na sita. Mama yake aliitwa Yerusha binti Sadoki.
Copyright information for SwhKC